Tamasha la Live Shangwe.. watu walikuwa wakimwabudu Mungu na Kumchezea katika Roho na kweli,. Live Conteporary Gospel Music Shangwe season one ilikuwa kama inavyo oneekana katika picha. Ni live shangwe mbele za Bwana.Baadhi ya wahudumu siku hiyo ni pamoja na
Tehilah Group, Living Waters, Glorious Celebration na Dar es Salaam Gospel Band,
watatuongoza katika kumchezea Mungu wetu,kumsifu na kumwabudu bila kuwasahau R.I.O.T Dancers. Mmmmh… ilikuwa ni live, kilikuwepo kwenye stage kwa dakika 45 non stop.
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana haleluya, Psalm 150. Live shangweeeee!
Itakuwa ikifanyika kila baada ya miezi mitatu, yaani ni mara 4 kwa mwaka.
Vision: “Giving joy to the life”
Usikose seasons zijazo kwa wewe mkazi wa mkoani..!!!