Living
Water Centre inakukaribisha katika Kongamano la Udhihilisho wa Utukufu wa Mungu
itakayofanyika Living Water Centre Kawe.
Kuanzia
26/06/2012 uzinduzi Saa 8:00mchana-12jioni, 27-01/06/2012 saa
3:00subuhi-12:00jioni
Watumishi ni
Bishoop Dr Bernard
Nwaka-Zambia
Bishop Emanuel
Lazaro-Moshi-Tanzania
Apostle Dr Simpson
Ngizela - South Africa
Bishop Emmanuel
Tumwidike- Mbeya -Tanzania
Wenyeji ni
Apostle Onesmo
Ndegi & Lilian Ndegi
Utabarikiwa,Usikose!