Mkesha Mkubwa wa kuombea Taifa uliofanyika usiku wa kuamkia
mwaka mpya katika uwanja wa Taifa.Uliandaliwa na Umoja wa makanisa Tanzania kwa
makusudi ya kuombea Taifa,ulikuwa umejumuisha wanakamati kutoka makanisa mbalimbali
Jijini Dar es salaam.
Mgeni rasmi aliye kuwepo kwa niaba ya Raisi wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Mh Jakaya Kikwete alikuwa Mh Said Meck Sadick Mkuu wa Mkoa wa Dar
es salaa,Aliyekuwa ameongozana na viongozi mbalimbali katika kuliwakilisha Taifa katika maombi hayo.
Pia mkesja huo ulikuwa na wakikilishi kutoka baadhi ya nyama
nya siasa,chama cha CCM kiliwakilishwa na Mh Nape Naule na Chama cha CHADEMA
kiliwakilishwa na Dada mmoja mbaya jina lake halikupatikana
kwa haraka aliyejitambulisha kuwa yeye mjumbe wa Halimashauli kuu.
Vikundi mbalimbali vya uimbaji katika kusifu na kuabudu vilikuwepo
usiku huo,Mkesha huo ulikuwa unatazwa live kupitia TB1 na kisikilizwa live na
Wapo Radio Fm Mojakwamoja kutoka uwanja wa Taifa.
Mheshimiwa Said Meck Sadick Mkuu wa mko Dar es salaam aliye kuwa mgeni Rasmi kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete. |
Wadau wa blog nao hawakuwa nyuma usiku huo
Mambo kama hiviiiiiiiiiiiiii
Vikundi vya Burudani vikitumbuiza usiku huo.
Bendi ya Police ilikuiwepo ikiburudisha na Bendi yao |
Mgeni Rasmi Mh. Said Meck Sadick akiingia uwanjani akiwa ameambatana na ujumbe wa viongozi wengine
Baadhi Viongozi wa Serikali wakisikiliza kwamakini |
Pastor Nikison alikuwepo kama mmoja wa kamati ya maandalizi ya mkesha huo |
Mwalimu Wallibroad Prosper ndiye aliye kuwa mratibu wa Vikundi vyote uwanjani hapo
Pia viongozi mbalimbali wa serikali walikuwepo |
Mheshimiwa Nape akisalimia na Kutoa Neno Kwa ufupi. |
Dada aliyekuwepo kuwakilisha chama cha CHADEMA alijitambulisha kuwa ni mjumbe wa Halimashauli kuu
Vikundi mbalimbali vya uimbaji vilivyokuwepo siku hiyo
Wakishangilia na kupepeza bendela ya Taifa
Vikundi vya uimbaji vya watoto vilikuwepo |
Watu waliudhulia kwa wingi |
Mhe Nape akihudumu Jukwaani kwa kupiga Guitaa... |
Vombo vya Habari vilikuwepo kusupport mkesha huo kwa asilimia mia moja |
Pia wapo Radio nao walitoa mchango wao mkubwa katika kuutangaza live mkesha huo TBC1 Media Production Walikuwepo kusupport mkesha huo.
Source of Picture Hackneel Production
|