Ibada ya ukombozi na maombezi kwa Watoto ilifanyika siku ya tarehe 14/01/2012 Jumuamosi kanisani Living Water Center Kawe,kwa kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Mtume Onesmo Ndegi akishilikiana na wachungaji pia watendakazi katika kuifanikisha ibada hiyo.
Katika ibada hiyo watoto kwa kiasi kikubwa walifunguliwa na kuponywa ila asilimia kubwa ya watoto wengi wameonekana kuwa wameshambuliwa na kuvamiwa na roho mbalimbali za hasira,uchungu uzito wa akili na nyingine nyingi bila ya wazazi wao kuwa wanajua kinacho wakabili watoto wao nawengine kubaki wakishangaa kilichokuwa kinaendelea katika ibada hiyo
Ibada hiyo iliyoonekana kuwa ni ndefu na kuonekana kurudiwa Jumamisi ijayo siku ya tarehe 21/01.2012.Wazazi wameshauliwa kuja na watoto wao kwa wingi bila kukosa.
Karibu pia nawewe na Utabarikiwa!
|
Mtumishi wa Mungu Mtume Onesmo Ndegi alipo kuwa akifundisha wakati wa Ibada hiyo. |
|
|
|
|
|
Watoto walikuwa wakiombewa kama inavyoonekana kwenye picha |
Watoto walikuwa wakiombewa
|
Mtume Onesmo Ndegi Alikuwa akiwapaka watoto mafuta na kuwaombea mmoja mmoja katika ibada hiyo |
|
Wengine walikuwa wakiombewa na kufunguliwa kwa mda mrefu kutokana na matatizo waliyokuwa nayo. |
|
Pia kuzungumza na watoto kwa ukaribu na upole ulifanyika kama anyoonekana Dr,Mchungaji Mhamba |
|
Kwa jina la Yesu mapepeo yaliondoka tu! |
|
Mapepeo yakitolewa kwa saaaaaana |
|
Watoto wadogo na wazazi wao waliombewa |
|
Maomezi na Kufunguliwa kwa sana |