Kwa mara nyingine tunashuhudia wanafunzi wa 8th Graduation ya Life Transforming Course, wakihitimu darasa la utumishi walilokuwa wakisoma kwa kipindi cha miezi mitatu katika kukulia wokovu,Baadhi ya wanafunzi wakizungumza kuhusiana na darasa hilo wamesema limekuwa la msaada sana.Hasa wengine wameokoka lakini baada ya kusoma darasa hilo kwa vitu walivyo vipata vimewafanya wajione kama hapo mwanzo walikuwa hawajaokoka!
Katika darasa hilo la utumishi Mkuu wa chuo hicho Mtume Onesmo Ndegi akishilikiana na Mwalimu Lilian Ndegi pia Naomi Mhamba na wengine wengi ni miongoni mwa watumishi wa Mungu walio hakikisha darasa hilo linafayika kama ilivyo pangwa.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjS6RqU76A7CEilSJXmSI3-2Exwv8DJaac7U5fasbU0mjvdRT1ueWEP1XEnb8NArDXls09ajAEFWsgzv6UuHX44wf5z7VmgtbeffZO1bkjziLwRd7BZmJvMrO3T_pl3AULr2CWbFiRqdpo/s400/P1100836.JPG) |
Baadhi ya wanafunzi hao wakioongoza sifa siku ya sherehe hiyo. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj5wjfQt7AxLADqtHCtMslc27OEtdf-phIyKSILhcanGLK35U32Okp_0fgBe2JkzH_Obv6kDNyr3QpqWn2AVZtWTaQ-q0G40HKu9UxOYO0VRevavD5uuvDv5DU5D-mLshUxNVTwg-HEibM/s400/P1100953.JPG) |
Wahitimu wa darasa la utumishi kama wanavyoonekana katika picha wakati mahafari hayo yakiendelea kanisani. |