Blog hii iliongea na Apostle ndegi siku ya leo na kutaka kupata ufafanuzi kuhusu semina hiyo. Apostle Ndegi aliongea na kusema ‘Watu Wengi sana hudhani Baraka za Ibrahimu ni zao kama zawadi za father Christmas na Kusahau kuwa kuna Kanuni maalum za kumiliki Baraka hizo zilizo ndani ya Biblia. Tumeona vema wakazi wa Dar-es-Salaam na Vitongozi vyake kujitokeza kusikiliza neno la Mungu na kutamua Kanunuzi za Kumiliki Baraka za Ibrahim Kibiblia kama Mungu alivyoagiza”
Semina hiyo ambayo itafundishwa na Apostle Ndegi Mwenyewe inatazamiwa kuanza rasmi siku ya Kesho na Kuhitimishwa siku ya Jumapili. Semina itakuwa ikianza Saa 9 na Nusu Jioni.
![]() |
Apostle Ndegi |