Binti na Ufahamu Bora ni semina ya Mabinti inayofanyika kila
mwaka katika Kanisa la Living Water Center Kawe,Semina hiyo iliyokuwa ya
siku
tatu kwa kuongozwa na Mama Lilian Ndegi,Pastor Naomi mhamba na Mwl Rose
Mushi, Katika siku ya hitimisho la Semina hiyo siku ya Jumapili Ibada
nzima mwanzo hadi mwisho Mabinti ndio walio hudumu.
Semina hiyo ilifunguliwa na
Mtumishi wa Mungu Apostle Onesmo Ndegi wa Kanisa la Living Water Center
akiwa kama mgeni rasmi,Akizungumza na Mabinti hao aliwaasa katika suala
zima la kukimbilia kuwaza kuolewa baadala yake aliwaambia wawaze kuwa na
ushirika na Mungu megine yatafuata kwa wakati wake.
Mwl
Lilian Ndegi na Pastor Naomi ni wanenaji waliokuwa wazungumza katika
semina hiyo ambao ndio wabeba maono ya Semina hiyo kuwa inafanyika kila
mwaka Katika kuwaleta mabinti karibu na Mungu ilikuweza kuwaepusha na
changamoto za ujana na Dunia kwa ujumla.
Mwl.Rose Mushi
pia ni mzungumzaji aliyekwepo kuzungumza na mabinti katika namna Binti
anapaswa kuwa vipi na Jamii anayomzunguka itamtambuaje kwa jinsi
alivyo,akaongeza kwa kuzungumzia kanuni za binti anapaswa kuwaje.
Mabinti walipata kujifunza vitu vingi ikiwemo kujitambua na
maswala ya mahusiano na changamoto za kimaisha,Semina hiyo ilihitimishwa siku
ya Jana Jumapili ikiambatana na Ngoma,Fashion Show amabyo ilidhaminiwa na Mstafa Hassanali,Magizo Dance na kupata muda wa Kusifu
na Kuabudu ikiongozwa na Mwl.Rose Mushi.
|
Pasotr Naomi Mhamba akizungumza na Mabinti
|
|
Meza kuu Katibu wa Living Water Center Ministry
Peace Matovu,Mama Apostle Ndegi na Rose Mushi wakifuatilia kwa makini semina.
|
|
Mabinti walojitokeza kuuzulia semina hiyo wakifuatilia
kwa amakini.
|
|
Praise and Worship Team ya mabinti wakihudumu katika
Ibada
|
Edna Luvanda Kiongozi wa Mabinti Kanisani hapo ndio alikuwa MC siku ya hitimishi la semina hiyo. |
|
|
Apostle Ndegi ndiye alikuwa Mgeni rasmi katika
Semina hiyo.
|
|
Wanenaji wa semina hiyo wakifuatilia jambo kwa makini
kwa mtumishi wa Mungu Apostle Ndegi
|
|
Semina hiyo ilipambwa na michezo mbalimbali kama
ngoma,maigizo,dance na Fashion show kama inavyoonekana.
|
|
Baadhi ya Mabinti walioshiriki Fashion Show katika
Stage,Nguo walizovaa walidhaminiwa na mbunifu maarufu wa mitindo Nchini Mustafa
Hassanali.
|
|
Magreth Kasanga Mwenyekiti wa mabinti ndiye
aliyesimama madhabahuni katika kuhudumu upande wa Neno
|
|
Baadhi ya Viongozi wa Mabinti Edina Luvanda,Happiness
Kassanga,Happiness Silayo, Grace Mbwiga Mkrugenzi wa Living Water Center katika
Pozi.
|
|
Mwl. Rose Mushi ndiye aliye kuwa mzungumzaji wa mwisho
kwa kutoa mafundisho yenye challange kwa mabinti wenzake kama kawaida yake!
|