Usiku wa Burudiko yaani mkesha wa kuamkia xmas katika kanisa la Living Water Center Kawe ilikuwa kama Hivi ...........
kwa jumla ilipendeze sana na watu walibalikiwa sana na kupelekwa kiwango kingine,
Groly to God
Pastor Safari naye alikuwepo siku hiyo kuhudumu akiwa na Rivers of Life.
Living Waters Wenyeji wa Event hiyo.
Living Waters
Sifa motomoto usiku ule
Watu walijitokeza kwa wingi usiku kushiriki katika ibada hiyo.
Luice akiongoza fisa na Living Waters.
Dancers pia alitawala usiku ule GUG Dancers kutoka Living Water Center.
Kiongozi wa DaresalaamGospelBand akifanya vitu vyake na kundi nzima.
DaresalaamGospelBand pia walihudumu usiku huo
R.O.I.T Dancers vijana wa kazi wakitoa burudani nyumbani kwa Bwana.
R.O.I.T Dancers
MC wa Event hiyo HK2
Hapa MC akiwa na Aposto Ndegi wakisoma Kadi ya Christimas kwa washirika wa kanisa hilo usiku ule.
DP mzee wa Gospel Flavor akisindikizwa na watoto madhabahuni
Sister Delicia akiongoza Worship akiwa na Tehilah Worship Team
Damian akihudumu with Gospel Jazz at Living Water Center Kawe
Aposto Ndegi akizungumza Neno kwa msisitizo.
Pia usiku ule haukuwa bure bali na Kondoo wa Bwana walizaliwa usiku ule.Utukufu kwa Mungu.
Rupia akiongoza sifa akiwa na Living Waters
Living Waters