Pia wasio kuwa wanafunzi waliuzulia kwa sana!! Mamia ya wauzuliaji wali mpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wao katika Usiku huo wa "FOCUS".Campus Night itakuwa ikifanyika kila mwaka,Kwa utukufu wa Mungu.
Mchungaji Nkone wa Kanisa la vcc Mmbeba maono |
Mc wa Compus Night Papapaa Sasali