Ibada ya Kusifu na Kuabudu pamoja na Kuzindua na Kuweka Wakfu Album ya Rivers of Life - DPC ya Sifa Zivume iliyorekodiwa Live pale Mlimani City.
Watasindikizwa na The Voice, Faith Singers, Victor Aaron na Joshua Mulemwa.
Kiingilio:
Kawaida - 5 000
Viti Maalum: 10 000
Kwa maelezo zaidi. piga 0712 207 717 |