| Apostle Onesmo Ndegi mwenyeji wa Kongamano hilo |
| Mwalimu Lilian Ndegi |
| Bishop Alois Rutivi kutoka Kenya |
| Pastor Titus Mkama kutoka Ilala TAG |
| Bishop Langton Gatsi kutoka Zimbabwe |
| Kutoka Kushoto Mwl.Lilian Ndegi,Apostle Ndegi,Bishop Alois Rutivi kutoka Kenya na Pastor Paschal kutoka Living Water Kibaha |
| Living Waters wakihudumu katika madhabahu pindi cha Kongamano. |
Bishop Alois Rutivi kutoka Kenya akinya song la collaboration na Living Waters |
| Living Waters wakihudumu katika madhabahu pindi cha Kongamano |
| Maua yaliyokuwa standby kuwakalibisha watumishi na wageni wanaoingia kanisani,Big up mmependeza mkiongozwa na Edina Luvanda |
| Wachungaji mbalimbali wakiwemo wa Living Water Centre waliokuwa wameudhulia Kongamano hilo |
| Kwa mbali namwona Pastor Carlos akiwa makini ansikiliza Neno na wachungaji mbalimbali walioudhulia Kongamano |
| Maombezi kwa wenye shida |
| Apostle Ndegi akifundsha kwa msisitizo |
| watu walipata kumpa Yesu Maisha yao katika Kongamano |
| Pastor Langton Gatsi kutoka Zimbabwe katikati afuatilia kwa makini. |
| Pastor Langton Gatsi kutoka Zimbabwe akifanya maombi kwa wenye mahitaji |