MKESHA MKUU WA KUOMBEA TAIFA KATIKA UWANJA WA TAIFA


Mkesha Mkubwa wa kuombea Taifa uliofanyika usiku wa kuamkia mwaka mpya katika uwanja wa Taifa.Uliandaliwa na Umoja wa makanisa Tanzania kwa makusudi ya kuombea Taifa,ulikuwa umejumuisha wanakamati kutoka makanisa mbalimbali Jijini Dar es salaam.
Mgeni rasmi aliye kuwepo kwa niaba ya Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Jakaya Kikwete alikuwa  Mh Said Meck Sadick Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaa,Aliyekuwa ameongozana na viongozi mbalimbali katika kuliwakilisha Taifa katika maombi hayo.

Pia mkesja huo ulikuwa na wakikilishi kutoka baadhi ya nyama nya siasa,chama cha CCM kiliwakilishwa na Mh Nape Naule na Chama cha CHADEMA kiliwakilishwa na Dada mmoja mbaya jina lake halikupatikana kwa haraka aliyejitambulisha kuwa yeye mjumbe wa Halimashauli kuu.
Vikundi mbalimbali vya uimbaji katika kusifu na kuabudu vilikuwepo usiku huo,Mkesha huo ulikuwa unatazwa live kupitia TB1 na kisikilizwa live na Wapo Radio Fm Mojakwamoja kutoka uwanja wa Taifa.

Mheshimiwa Said Meck Sadick Mkuu wa mko Dar es salaam aliye kuwa mgeni Rasmi kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete.


Wadau wa blog nao hawakuwa nyuma usiku huo
                                                              Mambo kama hiviiiiiiiiiiiiii

Vikundi vya Burudani vikitumbuiza usiku huo.

Bendi ya Police ilikuiwepo ikiburudisha na Bendi yao

    Mgeni Rasmi Mh. Said Meck Sadick akiingia uwanjani akiwa ameambatana na ujumbe wa viongozi wengine

Baadhi Viongozi wa Serikali wakisikiliza kwamakini

Pastor Nikison alikuwepo kama mmoja wa kamati ya maandalizi ya mkesha huo


                  Mwalimu Wallibroad Prosper ndiye aliye kuwa mratibu wa Vikundi vyote uwanjani hapo

Pia viongozi mbalimbali wa serikali walikuwepo

Mheshimiwa Nape akisalimia na Kutoa Neno Kwa ufupi.

                       Dada aliyekuwepo kuwakilisha chama cha CHADEMA alijitambulisha kuwa ni mjumbe wa Halimashauli kuu

                                           Vikundi mbalimbali vya uimbaji vilivyokuwepo siku hiyo

Wakishangilia na kupepeza bendela ya Taifa

Vikundi vya uimbaji vya watoto vilikuwepo

Watu waliudhulia kwa wingiMhe Nape akihudumu Jukwaani kwa kupiga Guitaa...

Vombo vya Habari vilikuwepo kusupport mkesha huo kwa asilimia mia moja

Pia wapo Radio nao walitoa mchango wao mkubwa katika kuutangaza live mkesha huo

 TBC1 Media Production Walikuwepo kusupport mkesha huo.

Source of Picture Hackneel Production