LIVING WATER CENTRE KIMALA KATIKA IBADA YA SHUKRANIMtume  Onesmo Ndegi alikuwepo kama mgeni rasmi katika ibada hiyo.

Pastor Angela Kibaja ambaye ndiye mwenyeji wa kanisa la Living Water Centre Kimala Baadhi ya watu walioudhulia ibada hiyo kutoka ibada hiyo kutoka makanisa mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam ikiwepo Living Water Center Kawe


Mchungaji Paschal Mnemwa wa Huduma ya Living Water Centre-Kibaha na Mchunga Devota Gwao wa huduma ya Living Water Centre-Kitunda wakwanza kulia wakifuatilia Neno kwa umakini kutoka kwa mtumishai wa Mungu.
Kikundi cha Sifa kutoka Kanisa la Kitunda ndicho kilichoongoza sifa siku hiyo

Mchunga Devota Gwao wa huduma ya Living Water Centre-Kitunda akiongoza sifa

Baadhi ya watu walioudhulia ibada hiyoMwisho wa Ibada kulikuwa na vinywaji na kubadilishana mawazo hapa na pale
Baada ya chakula cha kiroho kilifuatiwa na chakula cha mwilini vinywaji mbalimbali vilikuwepo katika kukamilisha ibada hiyo.

Watenda kazi wa Bwana waliofanikisha ibada hiyo Christina na Doroth Kibaja