Mkesha Wa Kuelekea Miaka 50 Ya Uhuru - Occupy Until I comeOccupy Until I come.....
Tarehe 8 Dec kuamkia 9 Dec,2011 kuna maombi ya “shifting of generation” Kuelekea kule Mungu anakotaka tuelekee katika miaka 50 ijayo.Ukumbi ni CCT UDSM Main compus Hakuna Tamasha la nyimbo,Tutashukuru Mungu kwa miaka 49.
Waliokuwa na Miaka 10 wakati Tanzania inapata Uhuru sasa wanamiaka 60, waliokuwa na Miaka 20 sasa wana miaka 70, Kwa sasa Tanzania inatimiza Miaka 50,wewe unamiaka Mingapi?Tukitimiza miaka 100 wewe kumbuka utakuwa Mzee.....There is a shifting Of Generation, sisi ndo tutakuwa Wazee wa nchi, Unapanda Mbegu gani Tanzania inapotimiza Miaka 50.
Asubuhi tukiwa tumemaliza kazi hiyo katika ulimwengu wa roho,tutakuwa tumeingia mwaka wa 50 na Mentality mpya na Mwanzo mpya katika kila jambo linalo la mtu na Taifa zima kwa ujumla. Usikose mwalike na mwezio!!