Sifa Zivume - Live DVD Launching & Dedication - Live Concert

Ibada ya Kusifu na Kuabudu pamoja na Kuzindua na Kuweka Wakfu Album ya Rivers of Life - DPC ya Sifa Zivume iliyorekodiwa Live pale Mlimani City.
Watasindikizwa na The Voice, Faith Singers, Victor Aaron na Joshua Mulemwa.

Kiingilio:
Kawaida - 5 000
Viti Maalum: 10 000

Kwa maelezo zaidi. piga 0712 207 717

Campus Night

     Usiku wa vyuo vikuu (Campus Night) Uliofanyika katika viwanja vya Leaders club Kinondoni,Ulikuwa imeandaliwa kwa ushilikano wa kanisa la Victoria Christian Center (VCC) na kuhudhuriwa na maelfu ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali kutoka Dar es salaam,Morogoro na wengine wengi.
Pia wasio kuwa wanafunzi waliuzulia kwa sana!! Mamia ya wauzuliaji wali mpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wao katika Usiku huo wa "FOCUS".Campus Night itakuwa ikifanyika kila mwaka,Kwa utukufu wa Mungu.
Mchungaji Nkone wa Kanisa la vcc Mmbeba maono
                                                                        Mc wa Compus Night Papapaa Sasali