Live Shangwe....Contemporary Gospel Music Concert

 Tamasha la Live Shangwe.. watu walikuwa wakimwabudu Mungu na Kumchezea katika Roho na kweli,. Live Conteporary Gospel Music Shangwe season one ilikuwa kama inavyo oneekana katika picha. Ni live shangwe mbele za Bwana.Baadhi ya wahudumu siku hiyo ni pamoja na
Tehilah Group, Living Waters, Glorious Celebration na Dar es Salaam Gospel Band,
watatuongoza katika kumchezea Mungu wetu,kumsifu na kumwabudu bila kuwasahau R.I.O.T Dancers. Mmmmh… ilikuwa ni live, kilikuwepo kwenye stage kwa dakika 45 non stop.
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana haleluya, Psalm 150. Live shangweeeee!
Itakuwa ikifanyika kila baada ya miezi mitatu, yaani ni mara 4 kwa mwaka.
Vision: “Giving joy to the life”
                         Usikose seasons zijazo kwa wewe mkazi wa mkoani..!!!

Ilianza kwa mtumishi wa Mungu Aposto Onesmo Ndegi kufungua kwa Neno kwa ufupi kabla ya mambo mengine kuendelea.

Pia mtumishi wa Mungu Isaac Mallonga kutoka Tehilah Ministry kuwa mzungumzaji katika event hiyo kuhusiana na kumsifu na kumwabudu Mungu.

Hawa ni Tehillah Group wakihudumu katikamadhabahu.

Living Waters wakihudumu.

R.I.O.T Dancers wakifanya vitu vyao Mmmmh…

Aposto Ndegi akizungumzia kuhusu Psalm 150 Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana haleluya.

Sister Delicia akuhudumu

Dsm Gospel Band wazee wa sebene wakifanya vitu vyao.........


Watu walikuwa busy kumchezea Mungu wao,wakiongozwa na Rupia akiwa hapo mbele akiwa na  Living Waters on stage.

Mambo yalikuwa kama hivi mwanzo hado mwisjo wa Event non stop