LIFE TRANSFORMATION COURSE WAFANYA GRADUATION YA KUHITIMU DARASA HILO.


Kwa mara nyingine tunashuhudia wanafunzi wa  8th Graduation ya Life Transforming Course, wakihitimu darasa la utumishi walilokuwa wakisoma kwa kipindi cha miezi mitatu katika kukulia wokovu,Baadhi ya wanafunzi wakizungumza kuhusiana na darasa hilo wamesema limekuwa la msaada sana.Hasa wengine wameokoka lakini baada ya kusoma darasa hilo kwa vitu walivyo vipata vimewafanya wajione kama hapo mwanzo walikuwa hawajaokoka!

Katika darasa hilo la utumishi Mkuu wa chuo hicho Mtume Onesmo Ndegi akishilikiana na Mwalimu Lilian Ndegi pia Naomi Mhamba na wengine wengi ni miongoni mwa watumishi wa Mungu walio hakikisha darasa hilo linafayika kama ilivyo pangwa.Baadhi ya wanafunzi hao wakioongoza sifa siku ya sherehe hiyo.


 Wahitimu wa darasa la utumishi kama wanavyoonekana katika picha wakati mahafari hayo yakiendelea kanisani.


Mmoja wa wahitimu akitoa ushuhuda kuhusiana na darasa hilo la utumshi
Ritha Chuwalo alikuwa mmoja wa wnafunzi hao akitoa ushuhuda wakati wa Ibada
Mwanafunzi aliye semekana kuwa ni mdogo kuliko wote katika darasa hilo akisoma risala ya darasa .
Mtume onesmo ndegi akijibu risala ya waitimu

Baadhi ya mwanafunzi wakipokea zawadi za kufanya vizuri katika kozi hiyo kutoka kwa Mtume Onesmo Ndegi


Miongoni mwa michezo walioicheza ni pamoja na ngoma

MARRIAGE WORKSHOP DINNER

Marriage Workshop Dinner.
19/May/2012
Huduma ya Living Water Centre Kawe inakualika
Katika Marriage Workshop itakayo ambatana na Mafundisho ya ndoa pia Chakula cha jioni.
Picolo Hotel Kawe.
Couple 50,000/= Single 30,000/=
Kuanzia saa 12:00 jioni - saa 3:00 usiku

Karibu
sana na Mungu akubariki 

Mawasiliano:
0784 580400
0655 391664
0766 802390