Aposto Onesmo Ndegi ndani ya nyumba....

Mtumishi wa Mungu Aposte Onesmo Ndegi baada ya kutokuwepo kwa mda sasa anategemea kuingia wakati wowote kuanzia leo,Hivyo ana habari njema juu ya maisha yako.Jitahidi usikose ibada siku ya jamamosi saa 3:00,imekuwa Jumamosi ili kuwapa watu uhuru wa kuweza kwenda kuchagua viongozi wanaowapendakwa kupiga kula siku ya Jumapi