![]() |
| A GREAT day for Tanzanian Children and youth is now here, everyone with any talent can participate, just contact +255 713 818 377, +255 767 818377, +255683 366 523 |
TANZANIA CHRISTIAN TALENT BONANZA
Sifa Zivume - Live DVD Launching & Dedication - Live Concert
Campus Night
Usiku wa vyuo vikuu (Campus Night) Uliofanyika katika viwanja vya Leaders club Kinondoni,Ulikuwa imeandaliwa kwa ushilikano wa kanisa la Victoria Christian Center (VCC) na kuhudhuriwa na maelfu ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali kutoka Dar es salaam,Morogoro na wengine wengi.
Pia wasio kuwa wanafunzi waliuzulia kwa sana!! Mamia ya wauzuliaji wali mpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wao katika Usiku huo wa "FOCUS".Campus Night itakuwa ikifanyika kila mwaka,Kwa utukufu wa Mungu.
Mc wa Compus Night Papapaa Sasali
Pia wasio kuwa wanafunzi waliuzulia kwa sana!! Mamia ya wauzuliaji wali mpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wao katika Usiku huo wa "FOCUS".Campus Night itakuwa ikifanyika kila mwaka,Kwa utukufu wa Mungu.
| Mchungaji Nkone wa Kanisa la vcc Mmbeba maono |
Mc wa Compus Night Papapaa Sasali
Live Shangwe....Contemporary Gospel Music Concert
Tamasha la Live Shangwe.. watu walikuwa wakimwabudu Mungu na Kumchezea katika Roho na kweli,. Live Conteporary Gospel Music Shangwe season one ilikuwa kama inavyo oneekana katika picha. Ni live shangwe mbele za Bwana.Baadhi ya wahudumu siku hiyo ni pamoja na
Tehilah Group, Living Waters, Glorious Celebration na Dar es Salaam Gospel Band,
watatuongoza katika kumchezea Mungu wetu,kumsifu na kumwabudu bila kuwasahau R.I.O.T Dancers. Mmmmh… ilikuwa ni live, kilikuwepo kwenye stage kwa dakika 45 non stop.
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana haleluya, Psalm 150. Live shangweeeee!
Itakuwa ikifanyika kila baada ya miezi mitatu, yaani ni mara 4 kwa mwaka.
Vision: “Giving joy to the life”
Usikose seasons zijazo kwa wewe mkazi wa mkoani..!!!
Usikose seasons zijazo kwa wewe mkazi wa mkoani..!!!
![]() |
| Ilianza kwa mtumishi wa Mungu Aposto Onesmo Ndegi kufungua kwa Neno kwa ufupi kabla ya mambo mengine kuendelea. |
![]() |
| Pia mtumishi wa Mungu Isaac Mallonga kutoka Tehilah Ministry kuwa mzungumzaji katika event hiyo kuhusiana na kumsifu na kumwabudu Mungu. |
![]() |
| Hawa ni Tehillah Group wakihudumu katikamadhabahu. |
![]() |
| Living Waters wakihudumu. |
![]() |
| R.I.O.T Dancers wakifanya vitu vyao Mmmmh… |
![]() |
| Aposto Ndegi akizungumzia kuhusu Psalm 150 Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana haleluya. |
![]() |
| Sister Delicia akuhudumu |
![]() |
Dsm Gospel Band wazee wa sebene wakifanya vitu vyao......... |
![]() |
| Watu walikuwa busy kumchezea Mungu wao,wakiongozwa na Rupia akiwa hapo mbele akiwa na Living Waters on stage. |
![]() |
| Mambo yalikuwa kama hivi mwanzo hado mwisjo wa Event non stop |
Subscribe to:
Posts (Atom)












