IBADA YA MAOMBEZI NA UKOMBOZI KWA WATOTO
Katika ibada hiyo watoto kwa kiasi kikubwa walifunguliwa na kuponywa ila asilimia kubwa ya watoto wengi wameonekana kuwa wameshambuliwa na kuvamiwa na roho mbalimbali za hasira,uchungu uzito wa akili na nyingine nyingi bila ya wazazi wao kuwa wanajua kinacho wakabili watoto wao nawengine kubaki wakishangaa kilichokuwa kinaendelea katika ibada hiyo
Ibada hiyo iliyoonekana kuwa ni ndefu na kuonekana kurudiwa Jumamisi ijayo siku ya tarehe 21/01.2012.Wazazi wameshauliwa kuja na watoto wao kwa wingi bila kukosa.
Karibu pia nawewe na Utabarikiwa!
| Mtumishi wa Mungu Mtume Onesmo Ndegi alipo kuwa akifundisha wakati wa Ibada hiyo. |
| Watoto walikuwa wakiombewa kama inavyoonekana kwenye picha |
Watoto walikuwa wakiombewa
| Mtume Onesmo Ndegi Alikuwa akiwapaka watoto mafuta na kuwaombea mmoja mmoja katika ibada hiyo |
| Wengine walikuwa wakiombewa na kufunguliwa kwa mda mrefu kutokana na matatizo waliyokuwa nayo. |
| Pia kuzungumza na watoto kwa ukaribu na upole ulifanyika kama anyoonekana Dr,Mchungaji Mhamba |
| Kwa jina la Yesu mapepeo yaliondoka tu! |
| Mapepeo yakitolewa kwa saaaaaana |
| Watoto wadogo na wazazi wao waliombewa |
| Maomezi na Kufunguliwa kwa sana |
MKESHA MKUU WA KUOMBEA TAIFA KATIKA UWANJA WA TAIFA
Mkesha Mkubwa wa kuombea Taifa uliofanyika usiku wa kuamkia
mwaka mpya katika uwanja wa Taifa.Uliandaliwa na Umoja wa makanisa Tanzania kwa
makusudi ya kuombea Taifa,ulikuwa umejumuisha wanakamati kutoka makanisa mbalimbali
Jijini Dar es salaam.
Mgeni rasmi aliye kuwepo kwa niaba ya Raisi wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Mh Jakaya Kikwete alikuwa Mh Said Meck Sadick Mkuu wa Mkoa wa Dar
es salaa,Aliyekuwa ameongozana na viongozi mbalimbali katika kuliwakilisha Taifa katika maombi hayo.
Pia mkesja huo ulikuwa na wakikilishi kutoka baadhi ya nyama
nya siasa,chama cha CCM kiliwakilishwa na Mh Nape Naule na Chama cha CHADEMA
kiliwakilishwa na Dada mmoja mbaya jina lake halikupatikana
kwa haraka aliyejitambulisha kuwa yeye mjumbe wa Halimashauli kuu.
Vikundi mbalimbali vya uimbaji katika kusifu na kuabudu vilikuwepo
usiku huo,Mkesha huo ulikuwa unatazwa live kupitia TB1 na kisikilizwa live na
Wapo Radio Fm Mojakwamoja kutoka uwanja wa Taifa.
| Mheshimiwa Said Meck Sadick Mkuu wa mko Dar es salaam aliye kuwa mgeni Rasmi kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete. |
Wadau wa blog nao hawakuwa nyuma usiku huo
Mambo kama hiviiiiiiiiiiiiii
Vikundi vya Burudani vikitumbuiza usiku huo.
| Bendi ya Police ilikuiwepo ikiburudisha na Bendi yao |
Mgeni Rasmi Mh. Said Meck Sadick akiingia uwanjani akiwa ameambatana na ujumbe wa viongozi wengine
| Baadhi Viongozi wa Serikali wakisikiliza kwamakini |
| Pastor Nikison alikuwepo kama mmoja wa kamati ya maandalizi ya mkesha huo |
Mwalimu Wallibroad Prosper ndiye aliye kuwa mratibu wa Vikundi vyote uwanjani hapo
| Pia viongozi mbalimbali wa serikali walikuwepo |
| Mheshimiwa Nape akisalimia na Kutoa Neno Kwa ufupi. |
Dada aliyekuwepo kuwakilisha chama cha CHADEMA alijitambulisha kuwa ni mjumbe wa Halimashauli kuu
Vikundi mbalimbali vya uimbaji vilivyokuwepo siku hiyo
Wakishangilia na kupepeza bendela ya Taifa
| Vikundi vya uimbaji vya watoto vilikuwepo |
| Watu waliudhulia kwa wingi |
| Mhe Nape akihudumu Jukwaani kwa kupiga Guitaa... |
| Vombo vya Habari vilikuwepo kusupport mkesha huo kwa asilimia mia moja |
| Pia wapo Radio nao walitoa mchango wao mkubwa katika kuutangaza live mkesha huo TBC1 Media Production Walikuwepo kusupport mkesha huo.
Source of Picture Hackneel Production
|
GROOVE PARTY 2011 IN NAIROBI CANCELLED
NAIROBI - The much anticipated Groove Party 2011 has been cancelled. The event scheduled for 31st December 2011 was cancelled due to security concerns raised by intelligence and the Kenya Police. “Al-Shabaab has threatened to hijack the event and do destructive damage to the participants and the facility” said Nairobi PPO (Provincial Police Officer) Antony Kibuchi. Here is the full media statement released by Mo Sound Entertainment, the organizers of the event.
"Mo Sound Entertainment, Groove
Party and its partners regret to announce the cancellation of the End
year event, Groove Party slated on the 31st December 2011 at the KICC.
The preparations for Groove Party
2011 were at a very advanced stage having received all the necessary
clearance from relevant authorities. However, the Kenya Police has
raised a red flag based on available security intelligence, and in the
interest of the safety of fans, it has been decided to cancel the event
altogether.
"Al-Shabaab has threatened to hijack
the event and do destructive damage to the participants and the
facility" Said Nairobi PPO (Provincial Police Officer) Antony Kibuchi.
"Together with our partners and
sponsors, we would like to thank you all for your continued support for
Groove Party and all our events", said Kevin Mulei – Managing Director
of Mo Sound Entertainment.
Groove Party will have a Live TV show to be aired on KTN on 31st December from 10pm and will feature Groove Party artists.
Mr Mulei, on behalf of the Groove
Party team, also took the opportunity to wish all the fans "a Blessed
Christmas and a Groovy New Year," and unreservedly apologized for the
inconvenience caused by the unforeseen cancellation, stressing that it
was occasioned by factors beyond his team's control and was "necessary
in order not to compromise the sanctity of human life and property."
Refreshment Night @ Living Water Center
Usiku wa Burudiko yaani mkesha wa kuamkia xmas katika kanisa la Living Water Center Kawe ilikuwa kama Hivi ...........
kwa jumla ilipendeze sana na watu walibalikiwa sana na kupelekwa kiwango kingine,
Groly to God
Pastor Safari naye alikuwepo siku hiyo kuhudumu akiwa na Rivers of Life.
Living Waters Wenyeji wa Event hiyo.
Living Waters
Sifa motomoto usiku ule
Watu walijitokeza kwa wingi usiku kushiriki katika ibada hiyo.
Luice akiongoza fisa na Living Waters.
Dancers pia alitawala usiku ule GUG Dancers kutoka Living Water Center.
Kiongozi wa DaresalaamGospelBand akifanya vitu vyake na kundi nzima.
DaresalaamGospelBand pia walihudumu usiku huo
R.O.I.T Dancers vijana wa kazi wakitoa burudani nyumbani kwa Bwana.
R.O.I.T Dancers
MC wa Event hiyo HK2
Hapa MC akiwa na Aposto Ndegi wakisoma Kadi ya Christimas kwa washirika wa kanisa hilo usiku ule.
DP mzee wa Gospel Flavor akisindikizwa na watoto madhabahuni
Sister Delicia akiongoza Worship akiwa na Tehilah Worship Team
Damian akihudumu with Gospel Jazz at Living Water Center Kawe
Aposto Ndegi akizungumza Neno kwa msisitizo.
Pia usiku ule haukuwa bure bali na Kondoo wa Bwana walizaliwa usiku ule.Utukufu kwa Mungu.
Rupia akiongoza sifa akiwa na Living Waters
Living Waters
Subscribe to:
Posts (Atom)

